Kumekuwa na vurugu za hapa na pale, Polisi kupambana na vijana kwenye kituo cha kupigia kura wakati wa uchaguzi mdogo kumchagua Mwakilishi wa jimbo la Bububu Zanzibar leo. (pichani) Polisi wa kuzuia ghasia wakisaidiwa na kikosi cha Valantia kuwaondoa vijana waliojikusanya karibu na kituo cha kupigia kura kwenye Shule ya Bububu.Picha zote na Martin Kabemba.
Baadhi ya mawakala wa vyama wakifuatilia upigaji kura.
Kijana akitumbukiza kura yake kwenye kisanduku cha kupigia kura jwenye kituo cha Shule ya Bububu Zanzibar
Kiongozi wa chama cha siasa (kushoto) akizungumza na wandishi wa habari nje ya kituo cha kupigia kura |
JEE CUF MTAKUBALI MATOKEO? AU NDIO TUWEKE MUWAKILISHI WA UMOJA? HALI HII INAONYESHA WAZI BADO HAMJAACHA YALE MAMBO LABDA SASA MSHIKAMANE NA CHAGEMA SIASA ZENU ZA FUJO ZINALINGANA.
ReplyDeleteUUNGWANA NI VITENDO!
ReplyDeleteMaana ya kushiriki sio lazima, au iwe isiwe ushinde!!!
C.U.F mmeshindwa ktk Uchaguzi acheni vurugu mjipange na pia muwe na busara kama Viongozi wenu wa juu waliokubali Muafaka kwa busara zaio za hali ya juu na kupevuka kwao Kisiasa.
naona akina ras makunja awachezi mbali na magitaa yao?
ReplyDeleteKama isingetokea mshikemshike wangeonekana ktk vyombo vya habari? Kuuza sura muhimu yakhe!
ReplyDeleteCUF acheni Siasa za kishamba za kuvunja amani na utulivu!!!
ReplyDeleteMkileta mchezo mutafungwa!
Akina Ras Makunjas ni kama Kunguru wanaonyemelea mzoga gusa unase!
ReplyDeleteFanya 'nyoko' waenda kula urojo chuo cha Mafunzo!
Hao wafanya fujo wa CUF waletwe kufungiwa Magereza za Bara!
ReplyDeleteHehehehe watapokelewa vipi?
Kwa chereko chereko na vigele gele!!!
Umeshindwa Uchaguzi Bububu Zanzibar kubali matokeo huku ukisubiria 2015 chukua nyavu ukavue samaki!
ReplyDeleteCUF mmesikia?