THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 2647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

yale yaleeeeeee,,,,,,

 Hello Guyz! 
Am glad to share with u that kind of usafiri huku vijijini kwetu. Picha hizo nilizipiga jana katika moja ya barabara iendayo Korogwe vijijini.Basi hilo lililopakia abiria wengi mpaka wengine kuwekwa katika keria ambapo kwa kawaida sehemu hiyo huwekwa mizigo jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao, lilikuwa likitokea Korogwe Mjini kuelekea  Kata ya Magamba kwalukonge (Korogwe vijijini) Umbali wa takribani Km 109 kutoka Korogwe Mjini. 
By Mng'anzagala Galinoma - Korogwe Tanga.

Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

  1. zebedayo Anasema:

    well, kama dereva atatembea taratibu kwa kujua kwamba amejaza watu kuliko kipimo,na akiwa na nia njema tu ya kusaidia watu ,maana kumbuka kwamba huko vijijini usafiri ni wa shida kweli kweli,je ?? lipi bora zaidi hapa ungelikuwa wewe uko kwenye hali kama hii ya kutaka kusafiri lakini gari limejaa.Nina hisi kwamba huenda hata wewe ungepanda juu ya keria.Yes nakubaliana na wewe mia kwa mia kwamba ,si jambo jema kujaza abiria namna hii.lakini inapobidi, naomba madereva wawe extra makini.Zebedayo msema kweli

  2. Anonymous Anasema:

    Watanzania wanahitaji kuelimishwa juu ya kujali maisha yao! Hakuna hata polisi wa kuwatia ndani wote hao pamoja na dereva wao? Ujinga gani huu!

  3. Anonymous Anasema:

    Tanzania suala la kinga halipo, tunangojea ajali na maafa yatokee tuunde tume na wahusika waneemeke maisha yanaendelea!!!

  4. Anonymous Anasema:

    dereva na konda. pia abiria waliopanda huko wote wanatakiwa wawekwe ndani. jela kabisa.

  5. Anonymous Anasema:

    Tazama Tanzania inavyo meremeta. Blue sky,green hills na udogo mwekundu.Shauri shauri. Asante mpigaji picha. Shida kama maoni alivyo sema changamoto suala la kinga hatu jali.