Hapa Makulukulu mjini Manyoni unapata kila aina ya mitindo ya mavazi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kizungumkuti kinapomkuta Fundi Cherehani ni moja ya haya hapa yanapotokea:

    1.Umepeleka nguo ipunguzwe halafu inatolewa kwa kukatwa vibaya kiasi linakuwa kama gunia na si nguo!

    2.Umeagiza mshono huu fundi anatoa mshono mwignine amekosea!

    3.Umeagana na Fundi nguo ziwe tayari kabla ya Sikukuu unaenda pale siku moja kabla ya sikukuu jioni unamkuta Fundi anafunga virago anaondoka!

    4.Unaenda kwa Fundi anashona anakuweka usubiri unasubiri mpaka mwisho anakwambia njoo tena kesho!

    5.Unamtuma Mkeo au Binti yako kwa Fundi akapimwe nguo, Fundi anatumia nafasi hiyo kufanya 'ubasha' wake kwa kunawa makalio au mwili wakati akichukua vipimo,,,asalalee kama mwenyewe upo unaweza kurusha ngumi!

    Hayo matano (5) ndio mambo yanayozaa misuguano mara kwa mara kati ya MAafundi vyerehani na Wateja wao!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...