Katibu Mkuu mstaafu wa CCM Mzee Yusuf Makamba akihutubia katika mkutano mkuu wa nane wa CCM Kizota Dodoma, kabla ya uchaguzi wa mwenyekiti wa chama hicho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Duuuh nimecheka sina mbavu. Makamba ni msanii mzuri sana! Japo wenye akili tunajua alitumwa kwa makusudi fulani lakini alijitahidi kuigiza. yote hiyo ni ishara kwamba CCM inajali watu wa imani zote.

    ReplyDelete
  2. Duh! Mzee makamba alikamua mbaya hii hotuba. Si ajabu kwamba watu walibadili muelekeo.

    ReplyDelete
  3. mwili umesisimka mwanzo mwisho,..hasa mzee Makamba aliposisitiza kumtaja Mungu ktk uchaguzi huu. Kumbe nchi yetu hazina tunayo bado, safi sana hakuna kama Mungu na mimi japo mwanamageuzi napongeza sana CCM hasa kwa namna walivyomhuhusisha Mungu ktk hili, sasa nitawatizama kwa macho matatu hawa watu, hofu ya Mungu ndio kila kitu

    ReplyDelete
  4. Naomba utuwekee hotuba ya mh karume aloitoa hapo kizota kwenye mkutano mkuu wa ccm

    ReplyDelete
  5. Hii inaitwa fungazi kazi, hakunakushindwa wala kulegea, ankal tuwekee full speech plz.

    ReplyDelete
  6. Kocha na Kamati ya ufundi?!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...