Monday, November 19, 2012
Jumla ya wanamitindo kumi na mbili wamechaguliwa kuingia katika shindano la kusaka UNIQUE MODEL OF A YEAR 2012 ambapo usaili huo ulifanyika katika Hoteli ya Lamada jumapili. Wanamitindo hao ni Elizabeth Petty,Phina revocatus,Amina Ayoub,Vivian Gilbert, Mwanaidi Mokitu,Elizabeth Boniface,Magreth M safiri,Berther Beson,Jennifer Njabili
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Post a Comment