Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika ukaguzi wa kibanda kilicho jengwa kwa ajili ya kuweka jenereta la kufua umeme katika kijiji cha Kibaoni Mkoani Katavi.Waziri Mkuu yupo Jimboni kwakwe Katavi katika ziara ya kukukagua shughuli za maendeleo na mapumziko ya Krismasi na Mwaka Mpya huko kijijini kwao Kibaoni.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa mtalamu wa Tanesco Makao Makuu,Eng. Tumaini Temu kuhusu jinsi jenereta walilo lifunga litavyo fanya kazi katika kuzalisha umeme katika kijiji cha Kibaoni.Kushoto ni Fundi wa Tanesco,Bibi Salama Mpera.

Bwana Godfrey Pinda ambaye ni mdogo wa Mh. Pinda akiwa anamwelezea Waziri Mkuu kuhusu anavyo lima kilimo cha mananasi katika shamba lake lililopo kwenye kijiji cha kibaoni Katavi.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika shamaba lake lililopo kwenye kijiji cha kibaoni Katavi akiangalia mahindi yalivyo stawi.Picha na Chris Mfinanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...