Kwa habari za kila siku Soma gazeti la Jambo Leo kupitia website http://jamboconcepts.com/jamboleo/ Utajipatia habari mbalimbali ambazo zimetokea nyumbani Tanzania na matukio mengine duniani,gazeti la Jambo Leo linatolewa na kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited, inayochapisha Jarida la Jambo Brand Tanzania, gazeti la michezo la kila wiki,Staa Spoti na gazeti la matangazo la Dar Metro linalotoka kila baada ya wiki mbili.Lakini unaweza kuingia katika website ya kampuni kuona vitu ambavyo inafanya ambayo ni http://www.jamboconcepts.com/.

Tunawakaribisha .Karibuni sana na tunahitaji maoni yenu ili kuweza kujifunza mengi zaidi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...