FAMILIA YA BWANA NA BIBI DAVID KISSENGE INAMPONGEZA MTOTO WAO MPENDWA ESKIA DAVID KWA KUTIMIZA MWAKA MMOJA TAREHE 27.01.2013, MWENYEZI MUNGU AMJALIE AFYA NJEMA, HEKIMA, BUSARA NA MIAKA MINGI YENYE KUMPENDEZA MACHONI PA BWANA
besdei ya kuzaliwa .... Nadhani Haya maneno mawili yana maana moja. Birthday (besdei) ni siku ya kuzaliwa .... Kwa maana hiyo hii sentence Ina maana "happy besdei ya besdei"
we anon wa Wed Jan 30, 11:57:00 am 2013 humu blog ya jamii kuna maneno yetu tumezoea kuyatumia nadhani we mgeni... ankal hebu toa kamusi tena naona watu wamesahau...
besdei ya kuzaliwa .... Nadhani Haya maneno mawili yana maana moja.
Birthday (besdei) ni siku ya kuzaliwa ....
Kwa maana hiyo hii sentence Ina maana "happy besdei ya besdei"
we anon wa Wed Jan 30, 11:57:00 am 2013 humu blog ya jamii kuna maneno yetu tumezoea kuyatumia nadhani we mgeni... ankal hebu toa kamusi tena naona watu wamesahau...