FAMILIA  YA  BWANA NA BIBI DAVID  KISSENGE INAMPONGEZA MTOTO WAO  MPENDWA ESKIA DAVID KWA KUTIMIZA  MWAKA MMOJA TAREHE 27.01.2013, MWENYEZI MUNGU  AMJALIE AFYA NJEMA, HEKIMA, BUSARA NA MIAKA MINGI  YENYE KUMPENDEZA MACHONI  PA BWANA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. besdei ya kuzaliwa .... Nadhani Haya maneno mawili yana maana moja.
    Birthday (besdei) ni siku ya kuzaliwa ....
    Kwa maana hiyo hii sentence Ina maana "happy besdei ya besdei"

    ReplyDelete
  2. we anon wa Wed Jan 30, 11:57:00 am 2013 humu blog ya jamii kuna maneno yetu tumezoea kuyatumia nadhani we mgeni... ankal hebu toa kamusi tena naona watu wamesahau...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...