Flora Mbasha and husband after their tour Scotland, they will be ministering this Sunday 6th January, 2013 at Vision Gospel Ministry International, Hackney Wick, 68 Wallis Road, E9 5HL, London. The service starts at 11.00 till 15.00. You are all welcome to praise our Lord together and admission is free.














































Michuzi huyo sio Flora ni mumewe nashabiki yao.
Huyu bwana ana raha sana maishani kwake, kwani kula kulala ni raha sana.
Du! Frola Mbasha amefanya plastic surgery ya uso.....makubwa haya....hata mwili umebadirika.
huyo flora mbasha lini kawa hivyo tena michuzi angalia vizuri huyo sio flora
heeee ,mbona kawa mdogo hivi au ndio mambo ya kujipenda!
huyo ni Mbasha & somesing,but not,the wife we know!mebbe its a mixup! yote sawa tu!labda kuna kitu tusichokijua!
Hata mimi nikajiuliza ni macho yangu yananidanganya au kuna Flora Mbasha wawili?
Mnyalu acha wivu