Kina Mama wa Kijiji cha Mnanila kilichopo kwenye Wilaya Mpya ya Buhigwi,Mkoani Kigoma wakionekana wakifanya biashara ya Ndizi katika soko kuu la Kijiji hicho.Eneo hili ni maarufu sana kwa kilimo cha Ndizi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mbona tundizi twenyewe tudogodogo hivyo?

    ReplyDelete
  2. wakulima hao haya mzee wa kilimo kwanza wasaidie kina mama waweze kujisimamia zaidi masikini weee mwangalie huyo mama mmoja kashika kiuno kwa kuchoka kubeba mizigo mizito

    serikali wasaidieni hao kina mama zile hela zenu za wizi na magari ya kifahari punguzeni kidogo mle na wananchi wenye nchi yao

    poleni kina mama msivunjike moyo ipo siku mtapata maisha bora kama sio nyie basi wajukuu zenu

    ReplyDelete
  3. Kina baba hawapo kabisa. oh woman. tutaingia peponi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...