Ngoma ya injili ya 'Kiatu Kivue' cha Bibie Annastazia Mukabwa akimshirikisha Rose Muhando si mchezo... Sikiliza ujumbe huo!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ankal viatu vyote nimevitupa....kimebaki kimoja tu cha kuendea nyumba ndogo....shuguli nyingine zote ni kwa mwendo wa kandambili

    Baba ufudu

    ReplyDelete
  2. nguvu za shetani ni kubwa ilioje!sikio la kufa halisikii dawa!ushanfahamu!

    ReplyDelete
  3. Thank you Michuzi, kwa kweli ujumbe ni mzuri sana, hivi viatu kwa bongo vimezidi watu wavivue, Mungu atubariki tubadilike!!!! kiatu cha Uzinzi!!!!!!watu wapunguze!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...