Ngoma ya 'Mtu Pesa' ya Twanga Pepeta itabakia mojawapo ya Classic ya bendi hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mtu pesa katika utunzi wake Banza Stone,ni nyimbo moja ambayo haitaweza kuchuja katika fani hii ya mziki.Blavo Banza.

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli ngoma hiyo Twangapepeta waltoa kitu maridadi kweli kwelihasa Msafiri Diof alingara sana na Rap zake

    ReplyDelete
  3. Aisha Madinda, napenda yeye sana. kautendea haki muziki huu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...