Machozi yananitiririka kama mtoto nikiwaona hawa watoto wakiimba kwa hisia maneno mazuri yaliyomo ktk wimbo huu.Kinachoniliza hasa ni giza zito lililotanda mbele ya hawa watoto,Yanayofanywa na hao waliopewa dhamana ya kuwalinda hawa watoto na hata wajao ndilo giza ninalolikusudia kwakweli inakatisha tamaa.