Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. asante.
    Mvuvi Kigamboni

    ReplyDelete
  2. yaani kwa utabiri huu hata mimi naweza....maafa yashatokea lindi huko zaidi ya watu 200 hawana pakukaa na mvua kubwa na upepo na tahadhari inatoka sasa

    kheri ya mwaka mpya watu wa utabiri wa hali hewa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hap hata pix wametumia za mafuriko ya Dar

      Delete
    2. PIA soma habari husika utaona majibu ya TMA na hata kesho utasema hujasikia kama serikali ilitangaza

      Delete
  3. utabiri wa jambo lililoshatokea tayari mulikuwa wapi hamkutowa tahadhari mwanzoni, tusidanganyane wabongo hizi siri ni za allah tu....


    http://magangaone.blogspot.nl/2012/12/mvua-kali-yakosesha-makazi-kwa-watu-200.html

    ReplyDelete
  4. Kumbe tupo wengi tuliostukia huu utabiri wa hali ya hewa, nilidhani ni pekee niliyepata kusoma habari za maafa siku kadhaa nyuma kabla ya huu utabiri kwa maeneo husika.
    Hii kiboko.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...