Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiulizia bei ya nanasi kutoka kwa bwana Isack Edward ambaye ni mfanya biashara anaye uza mananasi katika moja ya mitaa ya Mkoani Katavi,anayetokea Mkoani wa Kigoma na kuleta Mananasi Mpanda.kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa Katavi,Dkt. Rajabu Rutengwe.Waziri Mkuu yupo mkoani Katavi kwa ajili ya mapumziko ya krismasi na mwaka mpya.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwaangalia Watoto Gifti Mathew (miaka 3) Leah Moses (3) na Gloria Shila (2) waliokuwa wakicheza nje ya nyumba yao iliyopo katika mtaa wa Mpanda,Mkoani Katavi siku ya mwaka mpya.Picha na Chris Mfinanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mh. Pinda. Angalia pia ubora wa shule Gift, Leah na Moses watakazoenda, ilihali waweze kumudu maisha kwa kupambana na Utandawazi tuliyo ukumbatia. Watamudu kweli! Tufika wakati dhamira utuume.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...