Tupo pembeni ya Shoppers Plaza,Mikocheni, njia ya kwenda nyumbani kwa Mh.Raisi Kikwete.
Chakula kizuri, muziki mzuri, watu wazuri na mazingira mazuri. wakati unapata burudani zote hizi utakuwa unaangalia mpira. Wote mnakaribishwa.come and meet new friends

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Bonge la joint

    ReplyDelete
  2. Duhh Bongo Tambarale!

    Raha ya Viota kama hiki sasa ni kila kona!, nitabakia kutafuta pesa ya matanuzi tu.

    Nasikitika ni kwa nini niliomba Pasipoti?

    Nafikiri njia bora nitairudisha Pasipoti Uhamiaji halafu nikaomba Kitakmbulisho cha Utaifa na kubakia nchini kuijenga nchi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...