Mbunge wa  Moshi Mjini Mhe Phillemon Ndesamburo akiongea na Mhe Lucy Owenya  (viti maalumu - CHADEMA)  Bungeni leo.  
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na wabunge (katikati ) Mary Mwanjelwa(-Viti Maalumu)  na  James Lembeli (kulia) Kahama leo Bungeni. 
Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mzee Ndesamburo sio akiongea na mbunge tu wa Chadema viti maalum bali pia ni mwanawe au ulikuwa hulijui hilo michu....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...