Wajukuu wa mama Bishanga toka Ohio, Mariam na Lalaih,  ambao ni watoto wa Kilian Muya Kamota wanamkabidhi  zawadi ya keki ya birthday bibi yao na kumtakia maisha marefu ya furaha, amani, na maendeleo.  

Wajukuu wa mama Bishanga wakiwa nyumbani Tanzania,  Kilian au Mzungu na Mariam ambao ni watoto wa Hery au Kenny wa Mambo hayo, wana sema happy birthday bibi, sisi tumekununulia keki na pipi na biskuti lakini tumekula wenyewe kwa kuwa uko mbali, tunakusubiri utuletee zawadi ya ice cream, na daftari na kalamu, tunakupenda sana our grandmom.  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...