Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipokea msaada wa nguo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Al-Yousuf, Sheikh Al-Youseif, kwa ajili ya wananchi wa kijiji cha Kiuyu Micheweni.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la watu wa kijiji cha Kibokwa Mkoa wa Kaskazini Unguja,“SAEMAUL COMMUNITY HALL”. 
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Affan Othman Maalim akitoa ufafanuzi kuhusiana na miradi inayoendeshwa katika kituo cha wananchi cha Kibokwa, wakati Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipotembelea na kufungua rasmi kituo hicho. 
Picha na OMKR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...