Banana Zahir Ally Zorro na dada yake Mauda wakitumbuiza usiku huu katika uzinduzi wa umoja wa wafanyabiashara ya wenye viwanda wa Tanzania na Uturuki katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam usiku huu ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hii familia ya kina banana naikubali.kweli wana kipaji cha kurithi.usilogwe ukamshirikisha banana wimbo wako,kama hujajipanga vizuri maana utakuwa kama wewe ndio umemshirikisha. halafu nawapenda hawa vijana wanajiheshimu sana.hongera mzee zorro

    ReplyDelete
  2. big up mzee zorro umewatengenezea maisha vijana ukizingatia ulikuwa single parent .

    ReplyDelete
  3. Nawakubali sn frankly nawafananisha na famila ya jackson five.wangekuwa mamton wangekuwa moto wa kuotea mbali.speaking of vocalist hakunaga km banana.hongera sn kaka kipaji unachp halafu hana majigambo ya kijinga truely kipaji anacho sn tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...