Waziri Mkuu, Mizengo pinda akijibu Maswali Bungeni mjini Dodoma Aprili 18,2013.
Askari wa Bungeni (kulia) wakimwamuru Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu kutoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya Naibu Spika Job Ndugai kumtaka afanyane hivyo na kukaidi. Wengine pichani ni wabunge wa Chadema wakizuia asitoke Aprili 17, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziriwa Kilimo , Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 18 ,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Hivi Gharama ya kuendesha Bunge kwa siku moja ni sh.ngapi za kiTanzania(mwenye Data)?,mengine tutayaongea baada ya jibu kupatikana
ReplyDeleteDavid V
CCM wanataka kutufanta sisi wananchi wajinga. Chadema kwa kuwa wanayaona madhambi hawataki kukubali.
ReplyDeleteSasa basi, CHADEMA mkishindwa kuwadhibiti CCM basi nanyi kuwa weziwenzao ugomvi utaisha. Mtuache sisi wananchi tusiokuwa na bahati tufe tu mbaki wenyewe
Lissu, ukiambiwa toka, yafaa utii. Na hapo baadaye fungua kesi dhidi ya kunyanyaswa!
ReplyDelete