Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamadi akiwahutubia wananchi wa Mkwajuni katika mkuto wa hadhara wa chama hicho uliofanyaka katika viwanja vya mpira Mkwajuni,jana.
Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamadi akisikiza utenzi kwa makini,kulia ni Naibu katibu Mkuu wa CUF Hamad Masud Hamad na kushoto Mwenyekiti wa Wilaya ya Kaskazini (A). huko Mkwajuni Kaskazini A Unguja.
Wanachama wa CUF wakiburudika kwa rusha roho kabla yakuwasili kwa mkeni wa heshma katika mkutano wahazara uliofanyika huko Mkwajuni Kaskazini A Unguja.
Wanachama wa CUF wakisikiliza kwa makini Maalim Seif Sharif Hamadi hayupo pichani alipokuwa akiwahutubi katika mkutano wa hazara uliofanyika katika viwanja vya mpira Mkwajuni.PICHA NA MAKAME MSHENGA - MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...