Jabali la Muziki Marijani Rajabu na Dar International walikuwa hawashikiki enzi hizo. Sikiliza ngoma hii ya 'Ndoa ya Mateso'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Daah hapo umenikumbusha mbali sana.Wanamuziki wanazidi kuishia halafu mbadala hakuna! Vijana wanashindwa kuitumia hazina hiyo.Tuzidi kuwaenzi waliobaki kama Dede, Bitchuka na Ngurumo na wenzao waendelee kukomaa Msondo na Sikinde.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...