Ngoma ya Skylight Band ya 'Nasaka Dough' iko bomba...!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ya ukweli sana! BIG UP.... yaani nomaaaa

    ReplyDelete
  2. Kilicho ni boa ni kimoja tu. Bendi ya Tanzania, kwenye video kichwa cha treni kimeandikwa Masai wa Kenya. Mnaona kama ni vitu vidogo lakini vikubwa sana ktk fani ya "marketing," ama "public relations," then kila siku twalalamika watani wanatupiga bao, ni kweli! hata kama mmeifanyia Kenya mlikuwa na uwezo wa kusema hatutaki ionekana hivi. Ni mawazo tu yangu.

    ReplyDelete
  3. Marketing kwa wasanii wetu bado kwikwi na ukiwaelimisha basi unajenga chuki au bifu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...