Mgambo wa Jiji la Dar wakiwa wameisimamisha Gari aina ya Canter iliyokuwa ikipita Mtaa wa Samora upande usioruhusiwa kupita magari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2013

    Du jamaa katokea mkoa nini, hata mshipa haukumcheza kwa kutoona pamoja na wingi wa magari ya dsm lakini hapakuwepo na gari ikirudi njia ile.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...