Mchora vibonzo Nathan Mpangala aka Kijasti, (wa pili kulia) akishiriki mafunzo ya utengenezaji video fupifupi zihusuzo migogoro isiyo na mapigano iliyofanyika mwezi uliopita nchini Mexico. Mafunzo hayo yaliyoshirikisha washiriki 80 kutoka nchi mbalimbali yalitolewa na School of Authentic Journalism ya nchini humo. Baada ya darasa huko Mexico, Kijasti alipata nafasi ya kutalii jijini New York. Kumuona huko BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...