Tegemea kupata makala hii kila saa mbili asubuhi kila siku..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2013

    Bwana na bivi harusi wamedata, awesome.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2013

    Ankal nimekukubali kwa ubunifu!
    Wakati mabloag wengine wakisaka umbea wa siasa na upuuzi mwingine, wewe umejikita katika facts na humour! Hongera sana. Nimesoma mahali leo bloga anayetafuta umaarufu kwa nguvu zake zote (tena anajiita mtoto wa kigogo)kuwa Mzee Kingunge kafa (sio kweli, Mzee anadunda kama kawa), wewe unatupa raha za kijamii kama hizi. Ankal Mola akupe maisha marefu tuzidi kufaudu

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2013

    Hii Harusi ilikuwa Dallas, Texas. Tulienjoy sana tuliobahatika kuiona live. Ilikuwa safi sana

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2013

    Ila huyo bibi harusi ni kifaa cha uhakika kweli, siyo wale ambao huwa naona wamejaza matumbo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2013

    hii harusi ya wapi?!!!!!
    nchi gani hii?!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2013

    I LOVE THEM! THEY ARE HAPPY AND ENJOYING THEMSELVES! I NORMALLY HATE LONG BORING WEDDING CEREMONIES BUT THIS ONE KIBOKO BWANA WE ACHA WEE

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2013

    ILIKUWA SIKU YAO YA FURAHA
    WAACHENI WASELEBUKE
    SELEBUKENI

    ReplyDelete
  8. Huyo alosema siasa ni upuuzi mpuuzi yeye kwanza Pili Bangi na Pombe matokeo yake ni haya

    Hizi harusi siku hizi watu wote wamedata ukienda kwenye YOUTUBE haina haja kumsubiri Michuzi kukupa burudani kama ulivosema mdau wa pili ,burudani popote tunachotegemea hapa ni habari za nyumbani ambazo ni nadra kkuppata

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2013

    Bibi harusi mcharuko kinoma!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2013

    hao ni west africa ,kama sikosei Ivory coast.
    Nice wedding

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...