HUDUMA MPYA YA KIFURUSHI 
NEW DOOR TO DOOR SERVICE
TUNACHUKUA MZIGO MLANGONI KWAKO UK NA TUTAUFIKISHA MLANGONI KWAKO DAR
UKILIPA HAPA UK HAULIPI TENA DAR, SISI TUTAKULETEA MZIGO NYUMBANI KWAKO!
Baada ya kushughilikia kwa kina mapungufu yaliyojitokeza mwanzo, 
sasa tumerudi na huduma ya kifurushi tena ikiwa imeboreshwa zaidi.
BEI ZETU KAMA KAWAIDA HAZINA KIGUGUMIZI NA SI ZA KUUMIZA

AIR CARGO TO DAR NOW £3.50 INCLUSIVE CLEARANCE!
AIR CARGO TO ZANZIBAR NOW £3.00 INCLUSIVE CLEARANCE!
AIR CARGO TO NAIROBI/MOMBASA NOW £2.80 INCLUSIVE CLEARANCE!
KIFURUSHI KWA KONTENA DAR/ZANZIBAR NOW £2.20 INCLUSIVE CLEARANCE!

NDEGE ZINAONDOKA KILA WIKI MARA MBILI
TUNAFUATA MZIGO KUTOKA POPOTE UK
MINIMUM WEIGHT IS 40KILOS
KAMA UNATAKA KUAGIZA KITU AU KUFANYA BOOKINGS TUWASILIANE KWA NAMBA HAPA CHINI
CHRIS LUKOSI +44 07903828119  & 07404279633 
SIMON LOUIS (MOHSIN) +44 07950689243
HASSAN  +44 07448795075

HQ -  UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH
Tell (+44) 01375 855917  Fax (+44) 01708202477

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2013

    Hivi mtajuja lini USA Jamani

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2013

    jamani tufikirieni na sie ndugu wa zenu wa USA jamani tafadhalini saana sanaa mbona tutashukuru tukipata hiyo service na sie, ni hayo tu

    ReplyDelete
  3. ushauri wangu wekeni pia na zile admin charge msiwafungishe tu watu mizigo kisha kuna hidden charges pound 45 semeni tu plus 45 charge za utapeli

    Pia mseme kuwa watu wasifunge vitu vya biashara au vya thamani maana vinakutoweni roho vikija huko ah si hatupeleki vitu hivi we tutakuchaji zaidi kwa kuwa unaenda kuuza


    Wapuuzi tu mtu yoyote anaetaka kufunga mzigo kuna company inaitwa TUDOR FREIGHT wao wanakuja nyumbani na mizani yao mnapimiana hapo hapo unaambiwa bei hapo hapo mzigo 3 days kwa condor air
    kila jumatatu kkufika bei ubweteeeee

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2013

    USA mbona yako makampuni kama haya.

    1. Rodgers Exports
    2. All Africa Travel
    etc

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...