Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania, Bi. Julieth Rugeiyamu Kairuki akiinadi Tanzania katika mkutano wa wafanyabiashara wa Tanzania na Singapore katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore, ikiwa ni mara yake ya kwanza toka ashike wadhifa huo hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2013

    Million thanks Dada Julieth.Good presentation+Good presentation skills,good English to mention a few.However,I have one concern:(Blog ya jamii msibane hii-Mambo ya Katiba mpya haya)-Kwani huyo mlinzi wa MKUU hawezi kuvaa suti safi ya kawaida sehemu kama hizi?Lazima hizo Kombati?.Liangaliwe upya hili.

    David V-Daresalaam

    ReplyDelete
  2. Dr.Patrick NhigulaJune 06, 2013

    Michuzi, I think this is a right choice. She speaks very well and she has demostrated to Singaporeans that Tanzanians are educated. It takes time to fill in right people in right positions. I commend Mr.President for appointed a such a great speaker and well educated.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2013

    Dada Julieth hongera saaaaaaaana, well done! Yani presentation yako ni excellent kama ni award basi ungepata mana umeielezea TIC as if umefanya kazi hapo miaka 10 kumbe wala hata miezi 3 sidhani kama imeisha! Keep it up. Umeonyesha kweli Tanzania kuna wasomi, tena kina mama, kweli kina mama wakipewa nafasi wanaweza. Yani hata ukiangalia audience walikuwa wana-nod vichwa hata huyo alyepembeni mwa Rais, kuonyesha kukubaliana na wewe na kuwa wanaelewa unachosema. Kingine wengi walikuwa wanachukua short notes au points, mana watu huchukua points za maana. Dada kwa kweli nimekupenda sana. Ukizngatia ulivyo mdogo na unaonyesha una uelewa mkubwa sana wa vitu vya kazini kwako ingawaje ni mgeni. Hongera sana sana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2013

    ukiondoa hizo aah aaah aaah! in between sentensi, huyu anaweza kuwa muongeaji mzuri zaidi baadae, sasa hivi ni muongeaji mzuri.hivi kwa nini tusizungumze kiswahili? kwa wale tusiojua lugha na tuna vyeo si aibu ?ikifika zamu yetu watu wafunike sura? ni ktk kuhifadhiana tuu, lugha ni njia ya mawasiliano, inaweza kuwa yoyote, hata wakina gadaffi waliongea kilugha chao na kiingereza walikuwa wanajua, unatumia lugha unayoona uko makini nayo zaidi. kwa ujumla, huyu dada ameongea vizuri

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 06, 2013

    Mdau wa nne, kiingereza gani unachotaka wewe, Julieth anakitema hasa hizo aah lazima kuweka pause huwezi kuongea kama unaimba! Ina mana hujui tofauti ya anayeongea kiingereza kizuri au? Au ulikuwa unaongelea ile presentation ingine ukaamua kuweka hapa? Julieth yupo juu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 07, 2013

    soma post yangu vizuri utaelewa ninamaanisha nini. najua muongeaji mbaya, wa wastani, mzuri na mzuri sana. si kwamba mimi ni muongeaji mzuri. ukitaka kuona tofauti ya ninachoongelea angalia post ya the best thing africa has to offer ya tarehe sita june. huyo dada ndio muongeaji mzuri sana. ni mtazamo wangu kwa kielimu feki nilichonacho cha uzamivu katika mambo ya mawasiliano

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 07, 2013

    I don't know the sister, but overall she did well.. aah aah aah nyingi, but eh its not as easy as we all think..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...