Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika  Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akihitimisha  Kikao cha Mbalozi wa Afrika Ubelgiji. Balozi Kamala amewaalika Mabalozi wa Afrika na Wadau wengine wa maendeleo kuhudhuruia Mkutano wa Ushirikiano kwa Manufaa wa Wote utakaofanyika Tanzania kuanzia tarehe 28/06/2013 hadi tarehe 1/07/2013. Aidha, alizitaka nchi za Afrika na Ulaya kuimarisha Ushirikiano katika sekta ya teknolojia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...