Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuzindua utelemshaji wa mabomba ya gesi kutoka kwenye meli kwenye bandari ya Mtwara Julai 18, 2013. Mabomba hayo yatatandikwa chini ya ardhi kusafisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es salaam. Kulia kwake ni Balozi wa China nchini, Dr. Lu na Kulia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini , Stephen Masela. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Balozi wa China nchini, Dr. Lu kabla ya kushuhudia upakuaji wa mabomba ya gesi kwenye bandari ya Mtwara , Julai 18, 2013. Mabomba hayo yatatandikwa ardhini ili kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es salaam.
Wairi Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia (wapili kushoto) wakati alipozindua utelemshaji wa mabomba ya gesi kutoka kwenye meli kwenye bandari ya Mtwara, Julai 18, 2013. Mabomba hayo yatatandikwa ardhini ili kuwezesha usafirishaji wa gesi kutoka Mtwara hadi Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Hassan Kasuguru,nahodha alieingiza bandarini Mtwara meli yenye mabomba ya gesi kutoka China wakati alipozindua upakuaji wa mabomba hayo Julai 18, 2013. (Picha n Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2013

    Andamaneni sasa! tetetetetete!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2013

    Habari imekaa ki-unoko-unoko ila chichemi kitu nanyamza kimyaa kama chipo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...