Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2013

    KENYA inawauma:

    Jirani zetu wamezidi kutushusha kila uchao na sasa imejidhihirisha wazi ya kuwa Tanzania ipo juu watake wasitake.

    Wamesahau ya kuwa Tanzania ina vingi baadhi ni kama hivi.

    1.Ustawi wa Amani na Utawala bora,(Peace stability and better Governance) vimedumu nchini Tanzania, ktk Afrika na Afrika ya Mashariki wao Kenya waliendesha machafuko baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2007-2008 huku Rwanda ikitokea kwenye Mauaji ya Kimbari mwaka 1994 wakati Burundi ikitokea ktk Vita vya wenyewe kwa wenyewe na Uganda ikiwa na mzozo wa mudamrefu na Waasi kama ADF na Joseph Kony.

    2.Rasilimali zilizokuwepo miaka ndenda miaka rudi ambazo wao Kenya wamekuwa wakituhujumu hadi kwenye Sekta ya Utalii, huku Idadi ya Utitiri wa Rasilimali ziningine kama Gas, Oil na Uranium zikipatikana kwa marundo nchini Tanzania.

    3.Eneo ambalo Tanzania ipo ni kuwa linaelekea Bahari ya Hindi pia linaunganisha eneo la Afrika ya Kati huku nchi mojawapo ya ukanda wa Afrika ya Kati Congo-DRC ikiwa na mali ya ukubwa wa US$ 24 Trillion.

    4.Dunia nzima inatafuta rasilimali huku nchi vigogo vya Dunia kama China zikiongoza kwa Uwekezaji ktk Afrika ikiwemo Tanzania yenye Biashara za Makampuni ya China zinazofikia idadi ya 8,000 hadi mwaka 2012 kutokea mwaka 2001 zilipoanza kuingia nchini.

    5.Kenya imegundua sehemu zenye mafuta na Gesi lakini Gas and Oil yao haina manufaa ya kibiashara (Not commercially viable) kwa kuwa Hydrocarbon content yaani viasilia vya Nishati vipo chini sana kutokana na material zao kuwa na majimaji au unyevunyevu kitu ambacho kitawagharimu gharama kubwa ktk processing na kufanya Mafuta yao na Gesi visiwe na thamani ni Kibiashara, Mfano eneo la Lake Turkana Valley yamepatikana Mafuta ambayo ni machache sana Kibiashara kiasi cha 250,000 Barrels(Mapipa) wakati Uganda ina Mafuta kiasi cha 3.5 Billion Barrels(Mapipa) huku yakiwa na (% wax) kubwa(asili ya tope jingi) na kufanya yasiweze kusafirisha kwa mabomba kwa Urahisi.

    Wakati huo huo Gas ya Tanzania Kiasi cha 41 TCF (Trillion Cubic Feet) ikibadilishwa kuwa ktk majimaji inafikia kiasi cha wingi wa Mapipa 7 Billion Barrels (Mapipa 7 Billioni) yaani mara mbili (x2) ya Mafuta yaliyopatikana nchini Uganda (Ambayo ni Mapipa 3.5 Billioni).

    Zaidi ya Gas na Nishati zingine kama Mafuta CRUDE OIL ambayo Tanzania imejaaliwa kuwa na vingine vingi Muhimu kama URANIUM,STEEL,MANGANESE, COAL,SHALE STONES,BAUXITE,NICKEL, COLTAN (Madini ya Coltan yanayo ipa Rwanda lawama za wizi wa Madini nchini Congo)

    Angalieni kule Senegal Marekani imevutiwa na Demokrasia huku Afrika ya Kusini ikivutiwa na YOUTH LEADERSHIP (Uongozi kwa Vijana) wakati BABA LAO NYUMBANI KWA MHE. RAISI KIKWETE MAREKANI WAKIVUTIWA NA DEMOKRASIA, UONGOZI WA VIJANA NA PIA UWEKEZAJI, BIASHARA NA UCHUMI ambapo Kikwete amefunika IDARA ZOTE TATU (3) 'NYETI' YAANI DEMOKRASIA, UONGOZI KWA VIJANA NA UCHUMI NA UWEKEZAJI na ndio maana Ziara imehitimishwa kwake.

    Hivyo Obama na Marekani hawakuwa na sababu ya kwenda Kenya ama Uganda ktk hii EAC ambapo hakuna lolote isipokuwa kuja Tanzania AMBAYO INAUZIKA SANA KWA BEI KUBWA NA THAMANI KUBWA ZA KIBIASHARA NA KIUCHUMI na kwenye mwelekeo na Malengo na Maslahi kwao Marekani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2013

    Naungana na Mdau wa kwanza hapo juu na Well elaborated Analysis alizotoa.

    Angalieni Gazeiti la Kenya la Daily Nation leo muone wanavyotapa tapa na Pigo walilopata kutoka Tanzania kuhusu ujio wa Obama na Wamarekani kuja Tanzania.

    Kichwa cha Habari cha Gazeti hilo ni cha WIVU MTUPU, HUKU EDITORIA CONTENT IKIWA IMESHEHENI WIVU MTUPU

    ''Obama’s Africa Trip: Symbolism and Substance''

    LINK:

    http://www.nation.co.ke/oped/Opinion/Obama-Africa-Trip-Symbolism-and-Substance/-/440808/1906354/-/item/3/-/cybxubz/-/index.html

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2013

    Peter what a stupid question, what are you doing for Tanzania, don`t depend on aid too much, over 50 years of independence and still we are depending on foreign aid, as for Obama a great answer.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 06, 2013

    "Ask not what America can do for you
    but what Tanzanians can do for their own country."


    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 06, 2013

    It is utterly ridiculous for these foreign journalists to have hijacked this press conference, good job for the local journalist who stuck to their guns.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 06, 2013

    Wivu, wivu, wivu wa Kenya!

    Watanzania someni Gazeti la Kenya la Kiingereza Daily Nation la leo 6th July, 2013 muone Jinsi Msomi wa Kikenya Prof. Mwangi S. Kimenyi aliyepo Marekani akiwa Mkurugenzi tena kwenye Taasisi kubwa tu inayoitwa AFRICA GROWTH INITIATIVE ktk BROOKIGNS INSTITUTE jijini Washington DC.

    Kichwa cha Habari ''Obama’s Africa Trip: Symbolism and Substance''

    Angalieni Prof. Kimenyi ktk Makala yake hayo ukiyasoma kwa makini.

    Profesa Kimenyi haelewi ya kuwa Watanzania hasa sisi wa Kitambo kile tumesomeshwa vizuri Mashuleni Fasihi na Uchambuzi wa maandishi na Mistari ya sarufi ktk Somo la Lugha ya Kiswahili?


    ANAKATAA NINI NA ANAKUBALI NINI?

    ANGALIENI PROFESA ANAVYO TAPATAPA, AU KWA KUWA UJIO HUO WANANUFAIKA MPINZANI WENU WANANCHI WA TANZANIA?

    ...................................

    1.ANAVYOKATAA:
    Eti 1% ya US.FDI (Yaani asilimia moja ya Uwekezaji wa Nje wa Marekani ndiyo inayoelekezwa barani Afrika huku Misri ikiwa na kipaumbele cha kupata 25% hadi 33% ya hiyo 1% ya FDI inayoelekzwa Africa huku nchi zilizobaki 47 zikipewa kilichobaki...AKISEMA YA KUWA MSAADA HUO KWA AFRIKA SI CHOCHOTE SI LOLOTE.

    ...................................

    2.ANAVYOKUBALI:
    In an article published in the Guardian (UK) in 2011, I suggested that if Obama want to leave a legacy on Africa, he should focus on supporting American businesses to invest in Africa. I proposed that he must visit Africa with hundreds of business executives and work with African governments to identify opportunities.

    SASA JE WALE WAWEKEZAJI 500 ALIOONGOZANA NAO RAISI OBAMA NDIO VIPI AU KWA KUWA WAMEKUJA TANZANIA NA TANZANIA IMETAJWA KTK SAFARI KUWA NA LENGO LA UWEKEZAJI UCHUMI NA BIASHARA?
    ...................................

    MNAONA JILAZI ZA WAKENYA HIZO?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 06, 2013

    Fungueni ktk website ya Gazeti la Kenya Daily Nation la jana muone jinsi Mtanzania aliyepinda MKIMUONA MPENI DOLAZOTE kupitia Facebook alivyo wachana Wakenya kwenye Comments za Prof.Kimenyi kuhusu alivyosema hovyo kuhusu ziara ya Obama Afrika.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 06, 2013

    Wakenya subirini safari nyingine ya Obama huenda atawakumbukeni,iweje rais wa nchi kubwa kama USA aende kuonana na mtuhumiwa wa mauaji? ICC inamsubiri na hapo ndipo mtakapomkumbuka Odinga

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 06, 2013

    Wadau mlioongea hapo juu yote ni kweli kabisa. Ila mie nimeshangaa anapoongea Obama anavutwa yeye peke yake akiongea kikwete wanaonekana wote wawili na majibu ya kikwete yakiwa kati kati yao! Akiongea Obama majibu kwenye kimeza chake hapo mbele ne JK haonyeshwi! Jamani mambo madogo madogo kama haya kwa wanaofanya hivyo sio vizuri, rekebisheni najua au nadhnai ni wamarekani ndio waliokuwa wanachukua kama ni watanzania basi wamejaa nidhamu ya uoga. Vinginevyo big up kwa marais wote wawili wameongea na kujibu vizuri sana. Ila mh mwandishia wa habari kiinglishi enough....hukutaka misaada itolewe tena and then ulipouliza tu mie nikasema mbona majibu yote karibu yapo kwenye hotuba ya Obama na amerudia hayohayo...watanzania kiingereza inabidi tu-improve kwa kweli wengi tuna viingereza vibaya au niseme direct translation from Swahili! Chezea Tz.

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousJuly 07, 2013

      Anonymous wa mwisho: Hata kiswahili pia kinawapa matatizo baadhi ya waandishi. Tanzania ndilo chimbuko la kiswahili. Kwa kweli ni aibu kwa mtanzania aelewaye kiswahili kusema "HAKUNA MATATA"

      Delete
  10. AnonymousJuly 07, 2013

    Article ya Prof.Kimenyi ni tamu sana, ni ya kumkumbusha Obama bado hajawekeza vya kutosha Africa. Article imekava US interest in Africa. Wajumbe mlionitangulia mnaiangalia iyo article kwa jicho la ziara ya Obama Tanzania hapo ndipo kwenye shida ya uwelewa.poleni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...