Home
Unlabelled
Tanzania Sio Mali ya CCM Wala CHADEMA - Peter Msigwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nitafurahi sana siku zijazo usiongee kiswahili chenye kuchanganya na kimombo. Au usijaribu kabisa kusema kama ulivyosema: vijigari; vijinyumba na kadhalika. Elewa kwamba wawe wasomi au watu wa kati wote tunajitahidi kujivunia "utanzania". sasa wewe utanzania unaousema mbona unaweka lugha za wazungu! Bado uko mbali hata wewe na kasumba yako! Umeniudhi sana na hizi salamu zako kwa watanzania. Itabidi ubadilike
ReplyDeleteAnachozumza Msigwa ni cha kweli, Watanzania tulio wengi ni waoga,na watu wa kukata tamaa haraka,Mengi mabaya yanafanyika huku watu wakishuhudia lakini wanashindwa hata kusema kwa kuhofu uhai wao au mali zao.Ni wachache sana wenye vifua vya kuusemea ubadhirifu unaofanyika nchini,Ifike wakati watanzania tubadili tabia,tuache woga ili wenye nia mbaya waone kwamba sasa hawana tena nafasi.Sijui ujumbe huu utatiwa kapuni nao maana..........
ReplyDeleteHakuna cha kweli alichoongea, nilikua najua umepiga kitabu Msigwa kumbe GOIGOI.............
ReplyDeletenitafurahi sana siku zijazo usiongee kiswahili chenye kuchanganya na kimombo. Au usijaribu kabisa kusema kama ulivyosema: vijigari; vijinyumba na kadhalika. Elewa kwamba wawe wasomi au watu wa kati wote tunajitahidi kujivunia "utanzania". sasa wewe utanzania unaousema mbona unaweka lugha za wazungu! Bado uko mbali hata wewe na kasumba yako! Umeniudhi sana na hizi salamu zako kwa watanzania. Itabidi ubadilike...Bwana Msigwa, fuata huu ushauri wa huyu NDUGU. Tunakuomba ujibu kama ni sahihi wewe kusema ulichokisema kwa kimomnbo na kiswahili pamoja. Afadhali ungekisema kwa lugha yako ya nyumbani basi...ambayo unaijua hata kuliko kiswahili. Wacha maudhhi
ReplyDeleteHahaha!, Mheshimiwa Peter Msigwa!!!
ReplyDeleteTanzania SIO MALI YA CHADEMA WALA CCM?
Nimeanza kwa kicheko sio kuwa nina dharau isipokuwa naomba unipe jibu kwa Kitendawili hiki hapa chini.
Mfano tupo wawili mimi Mwananchi (Nikiwa na Chama Changu mwenyewe wewe Peter Msigwa na wenzako Utajaza jina naweka Kibindoni) na wewe Mheshimiwa Peter Msigwa UKIWA NA CHAMA CHAKO KAMA MBUNGE WA CHADEMA. ikitokea tunamfukuza kuku jirani na kwenye nyumba zetu halafu IKATOKEA KUKU AKAINGIA NYUMBANI KWANGU (sio nyumbani kwako) JE WEWE PETER MSIGWA UTASEMA NI WA KWAKO?
Mtoa mada wa kwanza na wa mwisho, asanteni sana
ReplyDelete