Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bi. Joyce Mkinga (Kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) alipokutana nao kuzungumzia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12 -2015/16) jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bi. Joyce Mkinga (Kulia) akionesha nakala ya Kijitabu cha Dira ya Taifa ya Maendeleo (TDV 2025), alipokutana na wanahabari kuzungumzia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12 -2015/16) jijini Dar es Salaam.
Jamani jamani mm kilio changu kipo kwa hao MAPAPA WA RUSHWA AU TAKRIMA kamwe hatuwezi kuendelea kiuchumi bila ya kuondoa mambo hayo,
ReplyDelete
ReplyDeleteDAH SAMAHANINI SANA JAMANI, MIE KILIO CHANGU NI HUYO MREMBO MWEENYE HIJAB HAKUTENDEWA HAKI ALISTAHILI WALAU ATAMBULISHWE.
UKWELI AMEPENDEZA KWELI
Naunga mkono hoja mdau wa wa pili hapo juu. Mrembo mwenye Hijabu tunaomba 'wasifu' wake. Ndio PRO wao ama ndio nani.
ReplyDeleteWadau wenye data zake msaada tutani.
Samahani kwa kutomtambulisha; anaitwa Fatma Salum, ni Afisa Habari toka Idara ya Habari (MAELEZO).
ReplyDeleteNa picha zote zimepigwa na Ndugu Frank Mvungi wa MAELEZO.
Saidi A. MKabakuli
Afisa Habari
OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO.