VIDEO YA MPAMBANO KATI YA MADA MAUGO NA THOMAS MASHALI ITAWAJIA BAADAE
VIDEO YA MPAMBANO KATI YA MADA MAUGO NA THOMAS MASHALI ITAWAJIA BAADAE
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mmarekani amekiona cha moto Tanzania...akifika kwao anaweza Kustaafu Ngumi!
ReplyDeleteWanasema walioshuhudia Mmmarekani baada ya Mpambano alijieleza aliona akiwa ana gandamizwa 'mabandama' yaani magumi mazito na mtu asiye onekana!
Inawezekanani kwa uzito wa magumi netiweki yake ya macho ikakatika ghafla akawa hamwoni mpinzani wake Cheka kwa kuwa Kipofu wa muda hadi alipojikuta chali ameshapigwa.
Ankal Michuzi, ongoza jahazi la kikosi kazi kwa kuweka title ya video hii kwa Ki-Inglish: The World Boxing Union (WBU) world tile: FRANCIS CHEKA (TZ) Vs Phils Williams (USA). Dar-es-Salaam, Tanzania.
ReplyDeleteFaida ni kwa bondia wetu Francis Cheka kuwa-promoted, nchi ya Tanzania kutambulika na hivyo masuala mengine kama utalii, uwekezaji unaweza kuzuka.
Mwisho zingatio hilo litiliwe mkazo ili kuipenyeza Tanzania ktk kila nafasi inayopatikana ktk youtube.
Ama sivyo video hii itaishia kutizamwa na wabongo pekee.
Mdau
Makini.
HONGERA SANA CHEKA
ReplyDeleteHongera kwa ushindi Francis,laiti kama ungejua na speed kama ya floyd basi ungeipata KO kwakua mpinzani wako alikupa nafasi nyiingi mno,kingine zile ngumi za kumchosha,yaani zile za eneo juu ya nyonga mbona hukuzitumia au?zile muhimu kaka na zinasaidia kweli kuokoa muda.Ushauri wangu, jitahidi speed iwe zaidi na zaidi,ukikutana na wenye speed watakuchosha haraka sana.
ReplyDelete