VIDEO YA MPAMBANO KATI YA MADA MAUGO NA THOMAS MASHALI ITAWAJIA BAADAE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mmarekani amekiona cha moto Tanzania...akifika kwao anaweza Kustaafu Ngumi!

    Wanasema walioshuhudia Mmmarekani baada ya Mpambano alijieleza aliona akiwa ana gandamizwa 'mabandama' yaani magumi mazito na mtu asiye onekana!

    Inawezekanani kwa uzito wa magumi netiweki yake ya macho ikakatika ghafla akawa hamwoni mpinzani wake Cheka kwa kuwa Kipofu wa muda hadi alipojikuta chali ameshapigwa.

    ReplyDelete
  2. Ankal Michuzi, ongoza jahazi la kikosi kazi kwa kuweka title ya video hii kwa Ki-Inglish: The World Boxing Union (WBU) world tile: FRANCIS CHEKA (TZ) Vs Phils Williams (USA). Dar-es-Salaam, Tanzania.

    Faida ni kwa bondia wetu Francis Cheka kuwa-promoted, nchi ya Tanzania kutambulika na hivyo masuala mengine kama utalii, uwekezaji unaweza kuzuka.

    Mwisho zingatio hilo litiliwe mkazo ili kuipenyeza Tanzania ktk kila nafasi inayopatikana ktk youtube.

    Ama sivyo video hii itaishia kutizamwa na wabongo pekee.

    Mdau
    Makini.

    ReplyDelete
  3. HONGERA SANA CHEKA

    ReplyDelete
  4. Hongera kwa ushindi Francis,laiti kama ungejua na speed kama ya floyd basi ungeipata KO kwakua mpinzani wako alikupa nafasi nyiingi mno,kingine zile ngumi za kumchosha,yaani zile za eneo juu ya nyonga mbona hukuzitumia au?zile muhimu kaka na zinasaidia kweli kuokoa muda.Ushauri wangu, jitahidi speed iwe zaidi na zaidi,ukikutana na wenye speed watakuchosha haraka sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...