Kadhia ya usafiri wa Noah: Abiria wakiwa wamepangwa hadi nyuma ya siti wakiwa kwenye usafiri huo kutoka  Mikumi kwenda Mjini Morogoro, kama walivyokutwa leo na kamera yetu eneo la Kijiji cha Mangae, Wilaya ya Mvomero ,barbara kuu ya Iringa - Morogoro. Licha ya gari hizo kuruhusiwa kubeba abiria baadhi ya wenye magari hayo hawazingatii kanuni za usafirishaji kwa kujaza abiria wengi kinyume na sheria.
Abiria wanashuka, wengine wanaingia...
Mlango unafungwa
Haya, safari njema...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwa hili nasema hawana jinsi,lingefanyika dar au kwenye usafiri wa kutosha yangekua mengine.

    ReplyDelete
  2. Usipojijali mwenyewe nani akujali??
    Kwanza angalia usalama wako kwenye hiyo safari halafu amua kupanga hiyo gari au usubiri gari kubwa.
    Maoni yangu tu

    ReplyDelete
  3. Muda ni mali usafri wa fasta na haraka hakuna jnsi uhaba wa usafiri mbadala.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...