Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Big and Fast Results Now! Big up JK.

    ReplyDelete
  2. Haya Tachie Mema kabla hujaondoka

    BIG UP JK.

    ReplyDelete
  3. Mbona hamna ratiba ya kuonana na wabongo walio mpa kura nyc au dc

    ReplyDelete
  4. Wadau wa Cali mkumbusheni mh kuhusu dual citizenship kwa niaba yetu wote. Mdau Dallas, Tx

    ReplyDelete
  5. Kikwete ndio Raisi DUME katika hii Afrika ya Mahsariki yenye Maraisi wenye Fitina!!!

    Umewafunika sana ktk Idara zote akina K-3 kuanzia kwenye Mipango ya Miundo mbinu na anga za Diplomasia za Kimataifa ndio maana wana kutenga kwa kukuonea wivu.

    Hawawezi kuliziba jua kwa Ungo, watakoma wenyewe Tanzania ndio AWAKE ECONOMIC GIANT nasio SLEEPING GIANT kama wanavyo fikiri Wapinzani wetu.

    TANZANIA TUMEWAFUNIKA SANA:

    MIUNDO MBINU:
    1.BANDARI:
    WAO WANA BANDARI 2 YA MOMBASA NA YA LAMU WANAYOJENGA KWA NCHI ZOTE 5 Ehtiopia, Sudan Kusini, Rwanda na Uganda WAKATI SISI TANZANIA PEKE YETU TUNA BANDARI 5 MPYA 2 (BAGAMOYO NA MWAMBANI TANGA) NA 3 ZA DAR, TANGA NA MTWARA ZA KUZIBORESHA.

    2.MABARABARA NA RELI:
    WAO NCHI ZOTE 5 WANA RELI MOJA TU WAKATI SISI TANZANIA TUNA MIRADI YA RELI MITATU (3)

    3.MITAMBO YA GESI NA MAFUTA:
    WAO WANAJENGA NCHI ZOTE MTAMBO MMOJA YA MAFUTA YA UGANDA NA SISI TANZANIA TUNAJENGA MITAMBO MITATU (3) HIYO NI KUSINI LINDI NA MTWARA PEKE YAKE.

    Hivyo Mhe.Raisi kaza buti huko USA na CANADA na uongeze jitihada za ktafuta mapesa ili na Miradi yetu hii kutekelezwa ili tuwalize wabaya wetu ktk Afrika ya Mahsariki!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...