NGOMA YA 'KASONGO' YA MAQUIS DU ZAIRE SI MCHEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mikausho MikaliOctober 04, 2013

    Uncle..

    Ni vizuri umeweka hii lakini sikuwa nafahamu kwamba hii ngoma ilishapigwa kabla ya hapo na bendi ya Orchestre Safari Nkoy http://www.youtube.com/watch?v=765OWenH88I

    ReplyDelete
  2. Ankal, leo umenikumbusha mbali sana miaka ileee ya 70's nakumbuka nikiwa kitu kama darasa la kwanza hivi. Hii nyimbo jamani inanipeleka mbali sanaaa. Huu ndo ulikuwa muziki imagine hadi leo hauchujuki hata kidogo siyo Bongo Fleva. Hiyo sauti ni King Kikii nini? Jamaa sauti yake ni unique sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...