Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara (aliyevaa nguo ya kijani) akifungua CD kuashiria uzinduzi wa filamu ya kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa ununuzi wa HISA na faida zake kwa jamii. Hafla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyoigizwa na Wasanii kutoka nchi za Afrika Mashariki imefanyika leo Jijini Dar es Salaam na imeratibiwa na Soko la Hisa la Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara (aliyevaa nguo ya kijani) akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii kutoka nchi za Afrika Mashariki walioigiza filamu ya kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kununua HISA. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Utamaduni upande Sanaa, Bibi. Leah Elias. (Picha na Kitengo cha Mawasiriano Serikalini, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...