JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA MJINI BUNGENI  MJINI DODOMA
TEMBELEA TOVUTI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA 
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ahsante kaka michuzi, Aliyetuumba akuongoze zaidi kwenye haki

    ReplyDelete
  2. kwangu inakataa kucheza..au ni mtandao upande wangu?

    ReplyDelete
  3. nimefurahishwa na hotuba hii. hata hivyo maneno ya Jaji Augustino Ramadhani kwamba hili suala linafuatiliwa kimataifa ni kweli. mimi naishi huku Uholanzi na kila mara watu wananiuliza tumefikia wapi. wengine wanafuatilia kila mjadala. nategemea tutapata katiba nzuri sana

    ReplyDelete
  4. Thanks Ankal, nimeweza kufuatilia hotuba ya Jaji Warioba 1000s miles away from Dodoma. Pia naipongeza Tume ya Warioba, wamefanya kazi kubwa sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...