Msikilize Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akijinadi jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Sadani kata ya Mseke,Iringa Vijijini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi vijiji vinahitaji facelift, bado natafuta centra business district ya Kalenga, kampeni ikifika hapo mtuonyeshe ilituweze kutathmini kiwango cha maendeleo kwenye mikoa inayozalisha vyakula kwa wingi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...