Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi  kanda ya Dar es Salaam
 Mgeni rasmi Sarah Shibelea akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi  kanda ya Dar es Salaam
Mgeni rasmi Sarah Shibelea akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi  kanda ya Dar es Salaam. Kongamano la Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi  kanda ya Dar es Salaam inayolenga kupata maoni ya wadau juu ya utekelezaji wa mafunzo ya ufundi stadi lililoendeshwa na ofisi ya VETA Kanda ya Dar es Salaam. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...