Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Bw. Jerry Silaa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana wakati akitoa wito kwa wananchi jijini kuzingatia alama mpya za mabadiliko ya baadhi ya njia ya za mabasi ya daladala na magari madogo yanayotazamiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu.  Pamoja na matayarisho ya kuanza kwa awamu ya kwanza ya mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT), mabadiliko hayo yanatarajiwa kupunguza msongamano katika jiji hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...