Mwanamuziki maarufu wa Reggae Afrika mashariki Jhikoman na mzuka wake wa Afrikabisa Band kutoka mjini Bagamoyo, Tanzania ameshatua nchini Finland kwa ziara ya miezi mitatu barani ulaya.
Mwanamuziki huyo alitua katika uwanja wa ndege wa HELISINK mapema leo 24. April 2014, ambako anataraijia kufunika katika maonyesho makubwa ya kimataifa katika nchi za Ujerumani,Finland,Norway na kwingineko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...