Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Askofu Mdegella umenena, mwenye sikio na asikie. Ujumbe wako una mazito mengi sana ya kutafakari. Mungu ibariki Tanzania!

    ReplyDelete
  2. lakini aliyetaka serikali 3 ni wananchi baada ya kuulizwa na tume ya warioba

    sasa kwa nini hawa watu wanapingana na matakwa ya wananchi?

    ReplyDelete
  3. Askofu una mtizamo wa kuchanganya mambo.Si busara kuchanganya dini na siasa wakati mmoja. Unadhani katika kanisa lako mna wangapi wanaotaka serikali 3.Wewe unataka 2, jee wanaotaka 3 wakueleweje katika mahubiri yako. Wabunge waachie wenyewe na itakapofika kupiga kura ya maoni ni wananchi ndio watakaoamua mustakabala wa katiba yao kama wanaitaka au kwao ni utumbo wasiouhitajia.

    ReplyDelete
  4. Hongera baba Askofu.

    Mi nawashangaa sana watu wanaosema wananchi ndiyo wanaotaka serikali tatu. Hivi uelewa wa watanzania ni mpana kiasi gani kuweza kujua madhara na faida ya serikali tatu?

    Kama elimu ya watanzani badu ni dhaifu ukilinganisha hata na nchi nyingine za Africa Mashariki, ni kweli watanzania wanaweza kujua serikali ngapi zinawafaa bila kuelimishwa na watu kama hawa wachungaji wenye uelewa mpana?

    Mi ninaimani kuwa watanzania wengi bado hatuna uelewa mpana wa kupambanua mambo na wala hatujui ni nini tunakitaka kwenye serikali tatu. Hivyo tuwashukuru watu kama huyu baba Askofu anayeweza kuchukua muda wake kutuelisha.

    Watanzania wenzangu tuacheni ushabiki. Mdau wa pili na wa tatu hapo juu badilikeni ndugu zangu kama kweli tunaipenda Tanzania yetu.

    Maaskofu wanajukumu pia la kutoa elimu ya uraia

    ReplyDelete
  5. Wewe uliyeanza na hongeera za baba askofu usitutukane bwana.

    Hivi kutu za ukoloni zitawaondoka lini kuwa mpaka aje mzungu awaambie kitu ndiyo muamini?

    Ina maana akina Waryoba na timu yake yote ya wasomi waliobobea hawajui wanachokiongelea?

    Hebu zungumzieni mengine lakini siyo kuwa sisi watanzania hatuna uelewa.

    USIJIDHARAULISHE labda ni wewe peke yako usiyekuwa na uelewa.

    ReplyDelete
  6. Mdau unayezungumzia kutu za ukoloni...

    Mtu anayejitabua hajui, ana akili sana kuliko yule anayefikiria anajua kumbe hajui.

    Demokrasia Tanzania, imetufanya tufikiri tunajua mambo kumbe hatujui...na hii ni mbaya sana katika maendeleo ya nchi. Ndiyo maana unaona makampuni mengi Tanzania ni bora ya ajiri mtu kutoka Kenya na Uganda kuliko Tanzania.

    Mh Warioba na timu yake, wamefanya kazi yao kama mwanasheria...lakini ukienda upande wa social au political science mh Warioba na timu yake wali-overlook issue ya serikali tatu.

    Kama unaweza mtafute ethnographer mzuri, au any anthropologist, atakuelezea vizuri nini kitatokea baada ya kuwa na serikali tatu. Na hili wanasheria siyo wazuri wa kulielezea, na hata sisi watanzania ambao ni wahasibu, madaktari, maengineer etc hatuweze kuwa na hayo majibu.

    Kuna watu wanasema eti CCM ilikuwa inakataa vyama vingi na ilizunguka Tanzania kusema watu wavikatae vyama vingi kwa sababu ya vita, lakini leo ni miaka 20 hakuna vita...kinachonishangaza ni kama kweli watu hao wanaweza kutuambia faida na hasara za kuwa na vyama vingi kwa miaka 20 iliyopita. Na hivyo vita vilivyosemwa si ndiyo hivi tunavyoviona sasa ndani ya bunge....Ni chama gani kina tumia busara japo hata 1 ya 100 ya zile za CCM.

    Ushabiki ni mpaya sana..na tutajuta kama hatutakuwa makini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...