Home
Unlabelled
ujumbe wa leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Totally agreed! went through the same experiences!!!
ReplyDeleteSwadakta mwandishi:
ReplyDeleteHuwezi kumridhisha kila mwanadamu ktk dunia ya Mwenyezi Mungu.
Ukitaka mafanikio kubali kuchekwa na kuitwa mbaya!
Mara zooote hao hao wanao kucheka, kukuzungumzia vibaya, kukusengenya, kukudharau na kukukejeli, ndio hao hao watakuja kukuchukia na kukuhujumu pindi utakapo fanikiwa!
ReplyDeleteDU, UBINAADAMU WETU HUU NI KAAAZI KWELI KWELI, AFADHALI UMEKUJA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI WATU TUTAJIREKEBISHA KUACHA KUISHI MASIHA YA WEZNETU NA KUWAKALIA WENZETU UTOSINI!
ReplyDeleteAsalaam alaykhum Ankal,
Well said Mr Michuzi. changamoto ndio chachu ya maendeleo kwanza jiamini kisha fanya unachokiweza na unachokipenda utafika tu hakuna cha rahisi duniani siku zote mwanzao mgumu na wakatisha tamaa ni wengi zaidi kuliko waunga mkono lakini ukishafanikiwa wote wanakua kitu kimoja na kukusuport kwa maneno jamaa huyu alikuaga hamna lolote yaani kafanikiwa tu tunamuona hivi hivi. Majuto ni mjukuu usipoteze wakati na fursa ukaja jutia kwakua Fulani kakuvunja moto pambana mpaka kieleweke matokeo ndio iwe uamuzi wako je imefanikiwa na imeshindikana na sio mwisho fikiria jinsi ya kujipanga upya kurekebisha ulipoteleza wote waliofanikiwa wamepitia magumu mengi.
Wasalaam
Mdau Sweden