Afisa Habari wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Bw. Dennis Kiilu akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Habari wa Wizara hiyo Bi. Fatuma Malende 

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambeneakiwaonesha Maafisa Habari wa Wizara ya Maji (hawapo pichani) namna Matumizi ya Mtandao wa Kijamii wa Twitter unavyofanya kazi hasa katika nguvu na kasi ya upashaji habari kwenye jamii, wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelazaji wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam.
                                                           
 Kaimu Meneja Uhusiano wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bw. Adrian Severin akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelzaji wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam
                                       
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene akieleza jambo kwa Maafisa Uhusiano wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) (baadhi hawapo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelzaji wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Meneja Uhusiano wa Shirika hilo Bw. Adrian Severin na katikati ni Afisa Uhusiano wa Shirika hilo Bw. Henry Kilasila.

                           
                      Baadhi ya Maafisa Uhusiano Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kutoka kushoto ni Neema Mbuja, Salama Kasamalu na Henry Kilasila wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini Leo Jijini Dar es Salaam.PICHA NA HASSAN SILAYO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...