Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Drive safely, save lives

    ReplyDelete
  2. Na kila mara madereva wetu mnapokuwa kwenye sukani zenu za magari, basi ni vyema mkazingatia formula hii 'LAD' (Look Assess and Decide) huku mkizingatia kanuni, sheria, symbols and signs zote zionyeshwazo barabarani katika kuwatahadharisha na kuweza kuepukana na 'hazards' mbali mbali zilizopo au mnazoweza kukumbana nazo barabarani. Naamini kama kila dereva atazingatia yote hayo, basi tunaweza kuzipunguza kama sio kuzitokomeza kabisa ajali za mara kwa mara za barabarani, Yawezekana, basi tutimize wajibu wetu madereva.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...